GET /api/v0.1/hansard/entries/1167422/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1167422,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1167422/?format=api",
"text_counter": 146,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "na vinginevyo. Hili silo kweli kwa sababu sisi tunaofanya siasa, tunazunguka maeneo yote. Hili linafaa liwape wakaguzi nguvu ili nao wafike mpaka Kiunga. Hii ni maana kwamba kuna sehemu unaambiwa kuna miradi na ilhali hakuna, na mkaguzi hawezi kufika pale. Ndio maana tunaendelea kutengwa siku zote. Kila tukikaa tukisema hayo maeneo hatutafanya maendeleo, ndio inakuwa maeneo ya uhalifu. Lamu Mashariki isipokuwa na barabara, kwa mfano, na barabara ziwe Lamu Magharibi pekee, ule msitu unakuwa nyumba ya wahalifu. Uhalifu unaongezeka kutokana na ukosefu wa maendeleo, kwa maana tukipata shida Lamu, tumepata shida Kenya. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}