GET /api/v0.1/hansard/entries/1169113/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1169113,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169113/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Utanisamehe kwa sababu kampeni imekuwa nyingi sana. Kwa hivyo, sauti inaenda. Kila Mkenya anategemea mafuta na maisha ya kila Mkenya yanahusika na mafuta. Unapoongeza bei ya mafuta, unafanya maisha ya Wakenya kuwa mazito sana."
}