GET /api/v0.1/hansard/entries/1169271/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1169271,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169271/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "kama vile ofisi ya Auditor-General, Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) na Directorate of Criminal Investigations (DCI). Hizi taasisi zilitakiwa kuchukua hatua kisheria kutokana na ripoti hizo. Ripoti nyingi zilionyesha ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma. Ubadhirifu wenyewe ulifanywa na magavana waliokuwa ofisini. Mpaka sasa, wengine wao bado wako ofisini. Bi. Spika wa Muda, Seneti imefanya kazi kubwa. Hata hivyo, hakuna hatua zozote za kisheria ambazo zimeidhinishwa kwa baadhi ya maafisa waliochukua imprest na kukosa kurudisha. Wanatakiwa kushitakuwa na wapokonywe mali yao kulingana na sheria kwa sababu ya kutorudisha imprest . Waliovuja pesa hizi kwa njia moja au nyingine, pia hawajakuchukuliwa hatua. Hii inavunja Kamati moyo kwa sababu Kamati inafanya kazi kubwa, lakini Serikali haichukui hatua yoyote kutokana na ripoti hizo. Bi. Spika wa Muda, jambo la pili ni kwamba tumeona kuna mkurupuko wa"
}