GET /api/v0.1/hansard/entries/1169309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1169309,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169309/?format=api",
    "text_counter": 300,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Mwisho kabisa ni kwamba watoto wale watalindwa na sheria ya kiislamu. Kwa hivyo, haiwezekani kwamba upande mmoja umesukumwa kuingia katika Mahakama za Watoto na upande mwingine wamesukumwa kuingia katika Mahakama ya Kadhi. Wakati Kadhi inaaamua maswala ya ndoa, anaamua pia maswala ibuka kama ya maangalizi ya watoto ambao wanatokana na ndoa hili."
}