GET /api/v0.1/hansard/entries/1169311/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1169311,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169311/?format=api",
"text_counter": 302,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Mara nyingi huwa ni shida kuwapatia kwa mfano, huduma za afya kupitia kwa bima ya afya kwa sababu watoto wale hawana vitambulisho na vitambulisho vya wazazi wao vimekwisha. Kwa hivyo, ni lazima wapate kitambulisho cha babu ili aweze kuwasimamimia kuhusiana na maswala yale. Mara nyingi huwa ni vigumu kupata amri ya mahakama ya kadhi kuweza kuwapa jukumu wazazi wale kuangalia watoto ambao ni wajukuu ambao wamo mkononi mwao."
}