GET /api/v0.1/hansard/entries/1169313/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1169313,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169313/?format=api",
    "text_counter": 304,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kuna pia Suala la mahali pa hifadhi ama rescue centre. Tumeona watoto wengi wakichukuliwa kwa mfano katika misako mjini na kupelekwa katika vituo vya polisi ambapo wanakaa seli na watu wazima ambao ni kama wazazi wao."
}