GET /api/v0.1/hansard/entries/1169315/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1169315,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169315/?format=api",
    "text_counter": 306,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Ni vizuri Mswada huu upite ndipo tupate rescue centres za kuwahudumia watoto kama hawa ambao wanahitaji huduma lakini hawana mahali pa kupata huduma hizi. Zamani kulikuwa na taasisi nyingi. Kwa mfano, kule Mombasa kulikuwa na approvedschool ambayo ilikuwa inawahudumia watoto kama hao ambao wamechukuliwa barabarani na ambao wameshindwa na shule za kawaida kwenda kusomeshwa masomo ya ufundi katika sehemu zile."
}