GET /api/v0.1/hansard/entries/1169316/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1169316,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169316/?format=api",
"text_counter": 307,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Hivi sasa kutokana na upungufu wa fedha na serikali zetu za kaunti, huduma hii imeeza kugatuliwa lakini hawatowi pesa za kutosha kuzisimamia huduma kama hizi. Kwa hivyo ni bora ninaona jukumu la serikali za kaunti limeangaziwa katika Mswada huu. Itakuwa bora Mswada huu utakapoidhinishwa serikali zetu za kaunti ziweze kutenga fedha fulani za kusimamia mambo kama haya."
}