GET /api/v0.1/hansard/entries/1169317/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1169317,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169317/?format=api",
    "text_counter": 308,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Vile vile tunaona kwamba katika miji mingi utapata wako watoto wengi ambao wametumwa kuomba. Utaona wanasimama kwenye mabarabara wakiomba pesa kwa wazazi wao. Inatoa taswira mbaya ya nchi yetu na mji yetu. Kwa hivyo sehemu kama hizi zitasaidia pakubwa kuwachukuwa watoto kama wale waende shule na kufundishwa ufundi. Wakitoka pale watakuwa wananchi wa kuaminika na kusaidia kujenga nchi yetu."
}