GET /api/v0.1/hansard/entries/1169631/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1169631,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169631/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Kwanza ningependa kuwashukuru na kuwapongeza wale wote ambao wamechangia Hoja yetu kwamba Seneti ikubali kuongeza deni mpaka Kshs10 trillion. Maswala ambayo yamezungumziwa na Maseneta wote ni muhimu, lakini ningependa kuguzia kwamba ongezeko hili la deni siyo kwamba wanaongeza deni ila wanaongeza kiwango cha juu ambacho deni inatakikana kufikia ili Serikali iweze kupata pumzi na kukabiliana na bajeti ya mwaka huu wa 2022/2023."
}