GET /api/v0.1/hansard/entries/1169634/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1169634,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169634/?format=api",
"text_counter": 263,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Iwapo nchi itaweza kupita kiwango chake cha deni cha Kshs9 trillion, itasababisha mkurupuko wa ongezeko la bei. Vile vile shilingi yetu ya Kenya itazidi kudorora dhidi ya dola na hapo itakuwa kizungumkuti katika uchumi wa nchi yetu ya Kenya."
}