GET /api/v0.1/hansard/entries/1169635/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1169635,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169635/?format=api",
"text_counter": 264,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Sababu ambazo zimesababisha ongezeko hili ziko wazi. Uchumi uliadhirika zaidi kutokana na janga la korona kwa muda wa miaka miwili na mpaka sasa zile hatari za korona zinaendelea kuadhiri uchumi wetu. Vile vile, swala la vita kati ya Urusi na Ukraine limechangia pakubwa sana kwa sababu kulikuwa na bidhaa nyingi kwa mfano mafuta ambayo bei yake inaendelea kuongezeka na pia bei ya bidhaa kama chakula na mbolea ambazo zinatoka sehemu ya Ukraine zimeongezeka maradufu."
}