GET /api/v0.1/hansard/entries/1169636/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1169636,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169636/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, kwa hivyo inamaanisha nchi haitaweza kutumia fedha nyingi zaidi kukopa na kuweza kuagiza bidhaa ambazo hazipatikani hapa nchini Kenya. Jambo lingine ni kwamba sarafu ya dola pia imeimarika kiuchumi. Ina maana ya kwamba shilingi yetu itazidi kudorora dhidi ya dola mpaka wakati uchumi wetu utaimarika."
}