GET /api/v0.1/hansard/entries/1169637/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1169637,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169637/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Sen. Mwaura amesema haimanishi kwamba kama kuna mkurupuko ama ongezeko la idadi ya watu inamaanisha pia kuna ongezeko la matumizi. Hilo ni swala ambalo liko wazi. Wale watoto wanaozaliwa watahitaji shule na matibabu. Kwa hivyo, ikiwa tulikuwa na hospitali za kutibu watu hamsini na tuna watu mia moja inamaanisha ni lazima tuongeze idadi ya hospital ama uwezo wa hospitali zile kuweza kuhudumia watu mia moja."
}