GET /api/v0.1/hansard/entries/1169638/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1169638,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169638/?format=api",
    "text_counter": 267,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, si ukweli kwamba ongezeko la watu halimaanishi ni ongezeko la matumizi ya Serikali. Watu wale wanahitaji shule, masoko, barabara za kupita na usalama. Huduma zote zinaotolewa na Serikali zinaongezeka wakati ongezeko la wananchi katika nchi linapoongezeka. Sio kweli kwamba bajeti itakuwa ile ile. Ikiwa bajeti ni ile ile inamaanisha uchumi haukui. Kama uchumi haukui ina maana tutakuwa tuko sehemu ile ile ya maendeleo kuliko vile ambavyo ingefanyika kama uchumi ungekua unakua."
}