GET /api/v0.1/hansard/entries/1169639/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1169639,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169639/?format=api",
    "text_counter": 268,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Swala la ufisadi ni donda sugu. Kuna baadhi ya watu katika Serikali ambao wameshtakiwa tayari kwa maswala ya ufisadi. Tunajua kuna kesi ambazo ziko mbele ya mahakama kuhusiana na mabwawa ya Kimwarer na Arror. Pesa zote zilitumiwa katika miradi ile ni za kukopa. Mradi haujafanyika mpaka sasa. Kwa hivyo, ina maana kwamba Serikali inalipa mkopo wakati pesa ambazo zilitumika kwenye mkopo hazikutumika kisawasawa kiuchumi."
}