GET /api/v0.1/hansard/entries/1169640/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1169640,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169640/?format=api",
"text_counter": 269,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, baadhi ya mikopo imekwenda katika mifuko ambayo haikustahili na tunakubali hiyo. Lakini, hiyo haimaanishi kwamba tuikataze Serikali kuw na pumzi za kupata mikopo ingine ili waweze kuendeleza maendeleo katika nchi yetu."
}