GET /api/v0.1/hansard/entries/1169641/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1169641,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169641/?format=api",
    "text_counter": 270,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Nampongeza Sen. (Dr.) Musuruve kwa mchango wake. Sen. Olekina pia amechangia kwa ufasaha zaidi swala hii kwamba uchumi uliadhiriwa na korona na kwa mazingara mabaya ya nchi baada ya korona. Uchumi unaendelea kuadhirika sababu ya vita baina ya Ukraine na Urusi. Uchumi umeadhirika kwa sababu dola ni sarafu ambayo imeimarika kiuchumi ulimwengu mzima. Hii ina maana zile sarafu zingine bado zitakuwa zinapata shida kushindana na dola kikamilifu."
}