GET /api/v0.1/hansard/entries/1169644/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1169644,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169644/?format=api",
"text_counter": 273,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Haya ni maswala ambayo yanatakikana yaangaliwe kwa mtazamo wa uchumi wa ulimwengu. Katika majadiliano yetu na wizara ya fedha, walikubali kwamba maswala haya yataangaliwa na kutakua mkutano hivi karibuni Morocco ambapo swala hili la uchumi wa ulimwengu na uongezekaji wa bei za bidhaa utajadiliwa."
}