GET /api/v0.1/hansard/entries/1169648/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1169648,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1169648/?format=api",
"text_counter": 277,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Pareno",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13180,
"legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
"slug": "judith-ramaita-pareno"
},
"content": " Itabidi sasa tuzungumze Kiswahili. Kwanza niliangalia kama unaruhusiwa kuanza kwa Kiingereza kisha kujibu kwa Kiswahili. Nikaona kwamba ni kweli Kanuni zetu zinaruhusu namna hiyo. Kulingana na ombi lako, kupiga kura kwa swala hili kumehairishwa mpaka kesho."
}