GET /api/v0.1/hansard/entries/1174374/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1174374,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1174374/?format=api",
    "text_counter": 1119,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Vile vile, Mhe. Naibu Spika wa Muda, katika haya mambo ya kupeana zabuni katika kutengeneza miradi, tumeona ya kwamba kuna maofisa ama wale wahusika ambao hawafanyi ile mipango mahsusi, ambayo tunaita feasibility studies kwa Kiingereza. Inafika wakati mradi huo unakuwa ni mgumu sana kutekelezwa na Serikali."
}