GET /api/v0.1/hansard/entries/1174375/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1174375,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1174375/?format=api",
    "text_counter": 1120,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Vile vile, tumeona kunakuwa na tofauti katika kulipa fedha ambayo tunaita variation kwa Kiingereza, kwa wale ambao hawataelewa. Hii tumeona sana katika shirika la Kenya Rural Roads Authority (KeRRA), Kenya National Highways Authority (KeNHA), Kenya Urban Roads Authority (KURA), na mashirika mengine mengi katika mambo ya barabara. Hiyo ni mifano tu ambayo natoa. Tumeona ya kwamba Serikali ya Kenya inapoteza fedha nyingi sana. Hivyo basi, tumeweka mapendekezo na kusema ni hatua ngani za kisheria ambazo zitachukuliwa, haswa kwa wale wahusika wa mambo kama haya."
}