GET /api/v0.1/hansard/entries/1174377/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1174377,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1174377/?format=api",
    "text_counter": 1122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Mhe. Abdullswamad amezungumzia kinaga ubaga kuhusu Shirika la KenGen. Wako na visima vya nguvu ya mvuke ambavyo wangetumia kwa miradi, lakini mashirika ya kibinafsi yalipatiwa zabuni ile. Hivyo basi, Kenya inapoteza fedha nyingi sana ambazo zingetumia kufanya mradi mwingine."
}