GET /api/v0.1/hansard/entries/1174378/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1174378,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1174378/?format=api",
    "text_counter": 1123,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Pia tumeona ya kwamba kuna wakati mwingine tunapata kuwa hakuna maafisa wa hesabu, ama wale tunaita accounting officers kwa Kiingereza, katika mashirika mengi ya Serikali. Hivyo basi, hata wakati wanafanya ile miradi, watu ambao wanatoa maamuzi ni maofisa ambao sio wahasibu. Hata ukiangalia hesabu zao, unakuta kuwa kuna changamoto na tofauti nyingi sana. Lazima mashirika yaangaliwe na yapigwe msasa tuone utumizi wao. Shirika la KAA lina mradi wa Greenfield, ambao ulileta changamoto nyingi sana. Kuna fedha nyingi zilipotea hapo. Pia, kuna yale mambo tunaita variation, ama tofauti nyingi ambazo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}