GET /api/v0.1/hansard/entries/1174380/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1174380,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1174380/?format=api",
    "text_counter": 1125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Tumeangalia pia katika mambo yale ya supplies . Tunapata ya kwamba kampuni imepatiwa mradi wa kupeleka bidhaa fulani katika mashirika ama mradi wa Serikali. Katika makaratasi ama ripoti zao, wanaonyesha ya kwamba wamepeleka pengine carton ishirini za maji. Lakini tukichunguza kabisa, tunapata hizo cartons hazikufika ishirini; labda zilifika tano, ama ni hewa. Huo ni mfano tu ; tunazungumza kwa misingi ya mamilioni na mabilioni ya fedha. Unaona kama mradi haswa ni wa supply . Tulizungumzia mambo ya Kenya Medical Supplies Authority (KEMSA) sana. Kuna kampuni ambazo zilipatiwa zabuni na hawakuwa na uwezo wa kufanya kazi kubwa kama hiyo ya kupeleka barakoa wakati tulikuwa tumepata changamoto ya Covid-19."
}