GET /api/v0.1/hansard/entries/1174940/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1174940,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1174940/?format=api",
    "text_counter": 275,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante Bi. Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii. Kwanza, ninataka kushukuru mwenyezi Mungu. Pili nawashukuru watu wa Kilifi kwa jukumu walilokuwa nalo la kuniweka katika nafasi hii ya kuwa katika Bumge hili la Senate."
}