GET /api/v0.1/hansard/entries/1174941/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1174941,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1174941/?format=api",
    "text_counter": 276,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Siku zote ukisema kwaheri, huwa kuna ugumu fulani, maanake ni neno rahisi kulisema lakini ni gumu sana kulitimiza japokuwa mioyo huwa, watu huwa wanawachana. Tukiwa hivi leo tukiweka historia ya kwamba tunalimaliza Bunge la 12 na tuaambiane kwaheri ni kwa sababu tunapendana na kwa sababu tuna imani ya kwamba ipo wakati tutafika Mwenyezi Mungu atatuweka pamoja tena. Jambo la muhimu ni kwamba Bunge la Seneti limefanya kazi yake kisawasawa. Tumekuwa na sintofahamu zetu ambazo hatuelewani hapa na pale lakini tumefanya kazi kisawasawa na hatimaye temefika mwisho wa hili Bunge la Seneti. Kusema kweli, Bunge hili katika majadiliano yake ndani ya Bunge liko juu sana na ndiyo sababu tukajiita The"
}