GET /api/v0.1/hansard/entries/1175220/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175220,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175220/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "(SGR) na mambo mengi, Pia niko katika historia. Wakati kanisa la Salvation Army lilitupiwa petrol bomb, nilikuwa katika Bunge hili nakutetea makanisa yaweze kupata hifadhi. Vile vile wakati masheikh walikuwa wanapotezwa ni sauti yangu ilikuwa ikisikika katika Bunge hili. Nimekuwa katika mstari wa mbele kuwatetea wafanyikazi maelfu wa Kenya Ports Authority (KPA), Kenya Ferry Services (KFS) na Kenya Airports Authority (KAA). Nilipokuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uwekezaji wa Umma niliweza kuhifadhia nchi hii mabilioni ya pesa. Ilikuwa ni rahisi kupata fununu na harufu na binadamu kujaribu kuteleza. Lakini, utajiri si fedha ni utu. Tuliweza kuhakikisha kuwa fedha zile zimehifadhiwa. Wakati ule, nilihakikisha kuwa pesa zilizokuwa zimeibiwa, tukaonyesha wazi walioiba ni nani, jinsi ya kuwashika na bila hofu wala njia yoyote nyingine. Nina imani leo ni siku yangu ya mwisho kama Mbunge wa Mvita. Nitaendelea kuwa pamoja na wao kama Mbunge mpaka Agosti. Mhe. Spika, nitarejea hapa katika Bunge kama The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}