GET /api/v0.1/hansard/entries/1175221/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1175221,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175221/?format=api",
    "text_counter": 200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "mgeni wako. Nina imani yale niliyoweza kujifunza katika Bunge hili yataweza kunifaa nikiwa Gavana wa jiji la Mombasa. Wasia wangu kwa wanaokuja ni wawe simba kwa kutetea watu wao. Wasiwe simba kwa kuwatetea katika video za Whatsapp bila kuja hapa Bunge kuleta Miswada inayotakikana. Kauli yangu ya mwisho ni kuweza kutoa Aya ya Quran Surah An-Nahl Ayat 53 “Na neema yoyote mliyo nayo inatoka kwa Mwenyezi Mungu”. Shukran sana, Asanteni."
}