GET /api/v0.1/hansard/entries/1175292/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175292,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175292/?format=api",
"text_counter": 271,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bahati, JP",
"speaker_title": "Hon. Ngunjiri Kimani",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": " Asante Mhe. Spika kwa kunipa nafasi hiyo. Naanza kwa mambo mawili ama matatu ambayo ningetaka kuangazia. La kwanza ni kukushukuru, Mhe. Spika. Nimeona watu wote wameongea mambo yako—uzuri wako, vile umeongoza kwa miaka kumi. Nashangaa! Wana macho na kweli wameona. Nawauliza hivi, kwa ufupi sana: kama ametuongoza kwa miaka kumi kwa ule uzuri mumetangaza hapa na mnajua yeye yuko Kenya Kwanza na Spika wa Seneti yuko Kenya Kwanza, mnangoja nini? Hamuwezi kuona pahali Serikali inakuja?"
}