GET /api/v0.1/hansard/entries/1175294/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175294,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175294/?format=api",
"text_counter": 273,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bahati, JP",
"speaker_title": "Hon. Ngunjiri Kimani",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Serikali inayokuja ya Kenya Kwanza ni uongozi ule umekuweko na mnasifu mkisema ni uongozi mzuri. Mhe. Spika, tunashukuru. Ukiingia, tukitengeneza hiyo Serikali nyingine, utuongoze namna unavyotuongoza. Wewe ni mtu mzuri na una maono mazuri. La pili, tumekuwa na kamati tofauti tofauti. Umetusaidia. Nashukuru Kamati ya NG-CDF ikiongozwa na Mwenyekiti Wamunyinyi. Tumeshukuru sana kwa sababu tumehakikisha hakuna The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}