GET /api/v0.1/hansard/entries/1175297/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175297,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175297/?format=api",
"text_counter": 276,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bahati, JP",
"speaker_title": "Hon. Ngunjiri Kimani",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "kwetu Nakuru ameandika barua ya kusema hakuna Mjumbe anaruhusiwa kwenda kwa shule kufungua shule na mijengo au public participation na hata kupeana bursary . Nafikiri ni mtu haelewi. Ningetaka aelewe saa hii kuwa kazi ya Wajumbe ni gani. Nina hiyo barua hapa na nitakukabidhi uone tuna watu walafi ambao hawajui Wabunge wanafanya kazi gani. They have done a lot of work."
}