GET /api/v0.1/hansard/entries/1175301/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175301,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175301/?format=api",
"text_counter": 280,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bahati, JP",
"speaker_title": "Hon. Ngunjiri Kimani",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "wa UDA. Candidate wangu ni William Samoei Ruto mpaka tumalize mpaka mwisho. Mimi si mtu wa kutapatapa. Nina msimamo na mimi ni UDA na ni candidate wa Bahati. Sitazungumza mambo ya Bahati kwa kuwa watu wa Bahati wanajua ile kazi nimefanya. Watufuate sisi watu wa Bahati. Mfuate Wabunge kwa vitendo vyao. Msiwapinge. Muangalie wamewafanyia nini. Hakuna haja ya kubadilisha mtu mzuri na mtu ambaye hujajua. Chagua Mjumbe ambaye umekaa naye na umemuelewa. Asante sana."
}