GET /api/v0.1/hansard/entries/1175362/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1175362,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175362/?format=api",
    "text_counter": 341,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
    "speaker": {
        "id": 13274,
        "legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
        "slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
    },
    "content": " Shukrani sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia fursa ya kuzungumza siku ya leo ambayo ni maalum sana, siku ya historia ambayo Bunge la Kumu na Mbili linaenda kufika kikomo. Natangulia kabisa kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema na rehema zake kwa kutupatia fursa ya kuwa hapa na kutuweka salama hadi sasa."
}