GET /api/v0.1/hansard/entries/1175363/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175363,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175363/?format=api",
"text_counter": 342,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
"speaker": {
"id": 13274,
"legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
"slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
},
"content": "Pia, nachukua fursa hii kuwashukuru watu wa Taita Taveta kwa kuniamini na kunipatia fursa ya kuwa mwakilishi wao hapa Bungeni na Taita Taveta yote nzima. Nilipokea fursa hiyo kwa upendo na nimeifanya kazi kwa juhudi na upendo mkubwa. Asante sana Taita Taveta."
}