GET /api/v0.1/hansard/entries/1175390/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175390,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175390/?format=api",
"text_counter": 369,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Asante, Mhe. Spika. Mwanzo, nataka nimshukuru Mwenyezi Mungu na watu wa Kaunti ya Lamu kwa kunipatia nafasi hii. Kulikuwa na wengi ambao walikuwa wanatafuta nafasi hii lakini hawakupata. Namshukuru Mwenyezi Mungu na watu wa Lamu sana."
}