GET /api/v0.1/hansard/entries/1175391/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1175391,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175391/?format=api",
    "text_counter": 370,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Pia, ningependa kukushukuru, Karani wa Bunge la Kitaifa na uongozi wa Bunge hili kwa kutupatia sisi mwongozo mzuri na nafasi ya kusoma. Vile nilivyoingia hapa Bungeni na ninavyotoka saa hii, sio Ruweida yule aliyeingia hapa. Tumesoma mengi. Asante sana. Mungu awabariki."
}