GET /api/v0.1/hansard/entries/1175392/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1175392,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175392/?format=api",
    "text_counter": 371,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Pia, ningependa kushukuru kamati nyingi ambazo zilikuja Lamu. Kwa mfano Kamati ya Mazingira na Maliasili, Kamati ya Afya na Kamati ya Uwiano na Ushirikiano wa Jumuia ya Afrika Mashariki. Sitashukuru Kamati ya Uchukuzi, Kazi ya Umma na Makazi kwa sababu walinikosea. Maombi yangu hayakwenda vile nilivyotarajia."
}