GET /api/v0.1/hansard/entries/1175395/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175395,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175395/?format=api",
"text_counter": 374,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Ningependa pia nimshukuru Rais wetu kwa kutupatia mkono, kutuwezesha na kufika pale tumefika. Pia, nashukuru kupatiwa nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uwiano na Ushirikiano wa Jumuia ya Afrika Mashariki. Nashukuru sana kwa hilo. Mhe. Spika, nakushukuru. Uliacha shughuli zako na ukakuja mpaka Lamu kunifungulia ile maternity shelter . Nakushukuru kwa hilo. Watu wangu wa Lamu watakukumbuka siku zote. Wazazi wakija pale na wakijifungua, watakukumbuka siku zote. Jina lako liko pale ambapo ulikuja kunifungulia."
}