GET /api/v0.1/hansard/entries/1175845/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175845,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175845/?format=api",
"text_counter": 421,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, kwanza kongole kwa ushindi wako kutokana na kura ulizopigiwa kuwa Spika wa Seneti. Itakuwa safari ndefu sana na ninajua mengi yanatarajiwa kutoka kwako kama Spika wa Seneti. Bw. Spika, vile vile, nawapa kongole hawa ndugu zangu ambao wamesimama nawe. Upande huo mwingine kuna Sen. Murkomen, Sen. Cheruiyot, Sen. Cherargei na"
}