GET /api/v0.1/hansard/entries/1175849/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1175849,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175849/?format=api",
    "text_counter": 425,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kiti ulichokalia kinatazamwa na Wakenya wote. Uko hapo kama Spika wa Seneti. Kuna upande wa Upinzani na walio wengi ambao wako upande wa Serikali. Nina imani kwa kuwa mimi nawe tumetoka mbali sana. Tulizaliwa pamoja na tumekuwa tukiishi pamoja. Najua kwamba unaweza kazi na utaifanya vilivyo kutokana na elimu, tajiriba na ujasiri wako. Mwisho ni kuwapa kongole Maseneta wapya katika hii Seneti . Ni safari ndefu na najua tutakuwa tukikwaruzana. Hata hivyo, nadhani mnafahamu kuwa Seneti ni"
}