GET /api/v0.1/hansard/entries/1175945/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1175945,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1175945/?format=api",
"text_counter": 521,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi kusimama mbele yako na suti yangu ya manjano. Kwa niaba ya watu wa Kirinyaga, nakupongeza kwa kuchaguliwa Spika wa Seneti. Ningependa pia kumpongeza Sen. Kathuri na Maseneta wote ambao walichaguliwa. Sina mengi ya kunena leo kwa kuwa tutapewa nafasi ya kutoa hotuba zetu. Waswahili husema kuwa kuku mgeni hakosi kamba mguuni. Naomba kuruhusiwa kukaa hapa na suti yangu ya manjano; nitanena siku ikifika."
}