GET /api/v0.1/hansard/entries/1176223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1176223,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1176223/?format=api",
"text_counter": 54,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Naibu Spika, sijui kama umeskia nilichoskia. Ni haki kwa ndugu yangu Sen. Cherarkey kusema ya kuwa, MCA ndio mtu wa kwanza wa kumuuliza kabla hujaenda kuoa bibi yako ambaye utaishi naye miaka yote mpaka ufe?"
}