GET /api/v0.1/hansard/entries/1176625/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1176625,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1176625/?format=api",
"text_counter": 456,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa muda. Bahati mbaya, ndugu yangu amemaliza kuongea. Katika uwanja wa siasa, kila mtu ana majukumu ya kuchagua pale anataka. Sen. (Dkt.) Khalwale akipewa nafasi ya kuongea hapa, huo si uwanja wa kuanza kutongozona, kuitana na kusema kuja upande huu. Mimi nafikiria niko vyema na niko sawa kabisa nikiwa upande huu wa upinzani; upande wa Baba Raila Amollo Odinga. Asante."
}