GET /api/v0.1/hansard/entries/1176636/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1176636,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1176636/?format=api",
"text_counter": 467,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Asante, Bw. Spika wa Muda. Mimi kama kiongozi ninaomba nipewe muda kidogo hata nikizidisha dakika tano, sita, saba ama nane. Asante kwa nafasi. Ndugu yangu, Sen. Cherarkey, anafuraha sana. Sijui kama ametoka huko kwenye vinywaji ama ni namna gani? Tangu kura zipigwe na maseneta wachaguliwe wakaingia ndani ya bunge na kuketi hapa, tumekuwa na ratiba ya kazi nyingi. Tumekuwa na shughuli nyingi na"
}