GET /api/v0.1/hansard/entries/1176639/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1176639,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1176639/?format=api",
"text_counter": 470,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Tunapoenda likizoni, tunaomba serikali izingatie janga la njaa ili lisipatakaa kila mahali katika nchi yetu ya Kenya. Watu ambao wanaishi katika ardhi ambazo hazipati mazao ama mimea wameathiriwa sana na janga hili la njaa."
}