GET /api/v0.1/hansard/entries/1176640/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1176640,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1176640/?format=api",
"text_counter": 471,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Njaa imekithiri zaidi mahali kama Kaunti ya Kilifi, Garissa unakotoka, Wajir na Turkana na serikali inatakikana iweke mkazo zaidi. Hayo ni maeneo ambayo yamekumbwa sana na baa la njaa. Haitakuwa vyema iwapo tutakwenda kwa Krismasi wengine wakiwa wanafuraha na wengine wakifa kwa njaa. Haitakuwa vyema Serikali ikiangalia watu wake wakifa. Ni jukumu la Serikali kuona kuwa hakuna Mkenya atapoteza maisha yake kwa sababu ya njaa katika ya nchi yetu."
}