GET /api/v0.1/hansard/entries/1176641/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1176641,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1176641/?format=api",
    "text_counter": 472,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika wa muda, umenipa muda kidogo lakini nataka kuongezea zaidi kwa kusema kwamba tumekua tukiona wakati wa likizo kama Krismasi, polisi wanafurahia sana kushika watu waliochelewa ama kushika watu ovyo ovyo kwenye vilabu. Huu ni wakati wa Wakenya kufurahia juhudi zao za mwaka mzima na itakuwa jambo la kusikitisha ikiwa polisi wataregelea ule mfumo wao wa kushika watu Ijumaa na kuwaachilia Jumatatu au kushika watu kiholela na kuwaambia watoe pesa. Ni jambo la kusikitisha."
}