GET /api/v0.1/hansard/entries/1176642/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1176642,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1176642/?format=api",
"text_counter": 473,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Umesikia ukiwa hapa kuwa kuna jambo la kununua watu. Wanasiasa wengi wanakumbwa na shida na inafika wakati wanaambiwa waende upande fulani. Tumeanza kuona hiyo ni hatari kwa sababu kuna nia au njama ya kuvunja upinzani katika taifa letu. Tunawaambia ndugu zetu walio katika mamlaka, waendelee lakini tunawaangalia."
}