GET /api/v0.1/hansard/entries/1176645/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1176645,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1176645/?format=api",
"text_counter": 476,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Hata kama wameshinda au kuchukua uongozi, hawakuchukua uongozi kwa sababu hawakuwa na msimamo. Walikuwa na msimamo. Baada ya kukaa kwa mamlaka, sisi kama wanasiasa, tujifunze kuwa na msimamo. Tusiende upande huu ama ule."
}